Last Updated: December 2025
Asilispot Organization inajali na kulinda faragha ya taarifa zako binafsi. Sera hii inaeleza jinsi tunavyokusanya, kutumia, kuhifadhi na kulinda taarifa zako unapotumia tovuti yetu, kujiandikisha kwenye mafunzo au kupata huduma zetu za malighafi.
Tunaweza kukusanya taarifa binafsi unazotupatia kwa hiari wakati wa:
Aina za taarifa tunazoweza kukusanya ni pamoja na:
Taarifa tunazokusanya hutumika kwa madhumuni yafuatayo:
Asilispot Organization hauzi, haupangishi wala hausambazi taarifa zako binafsi kwa wahusika wa nje kwa madhumuni ya kibiashara.
Tunaweza kushirikisha taarifa zako pale inapobidi na:
Wahusika wote wa nje wanatakiwa kulinda usiri na usalama wa taarifa zako.
Tunatumia hatua za kiufundi na kiutawala kulinda taarifa zako dhidi ya:
Hata hivyo, tafadhali tambua kuwa hakuna mfumo wa mtandao au uhifadhi wa kielektroniki ulio salama kwa asilimia 100.
Tovuti yetu hutumia sessions kuhifadhi taarifa za muda mfupi ili:
Sessions hizi hazihifadhi taarifa nyeti kwa muda mrefu na huisha kiotomatiki.
Asilispot Organization inaweza kutumia cookies na teknolojia zinazofanana ili:
Sessions hizi hazihifadhi taarifa nyeti kwa muda mrefu na huisha kiotomatiki.Unaweza kudhibiti au kuzima cookies kupitia mipangilio ya kivinjari chako. Sera hii itasasishwa pale matumizi ya cookies yatakapoanza kikamilifu.
Kulingana na sheria husika, una haki ya:
Huduma zetu hazilengi watoto walio chini ya miaka 16. Hatukusudii kukusanya taarifa za watoto. Iwapo tutabaini taarifa kama hizo, zitafutwa mara moja.
Asilispot Organization inahifadhi haki ya kurekebisha Sera hii ya Faragha wakati wowote. Mabadiliko yatatangazwa kupitia tovuti yetu, na kuendelea kutumia huduma zetu kutamaanisha umekubali mabadiliko hayo.
Kwa maswali au maelezo zaidi kuhusu Sera hii ya Faragha, tafadhali wasiliana nasi kupitia mawasiliano rasmi yaliyopo kwenye tovuti yetu.
AsiliSpot Formulation Organization
Arusha City,
Arusha, Tanzania
Email: mawasiliano@asilispot.org
Phone: +255 768 078 727
By using our website and services, you consent to the terms of this Privacy Policy.