Karibu Kwenye Mafunzo ya utengenezaji wa Vipodozi vya Asili kwa Ngozi na Nywele

Jifunze. Tengeneza. Anzisha Biashara ya Vipodozi vya Asili

Tunakusaidia kujifunza utengenezaji wa vipodozi vya asili kwa ajili ya ngozi na nywele, Pia tunakupa mwongozo wa malighafi bora

About AsiliSpot Formulation Organization

AsiliSpot Formulation Organization ni taasisi ya mafunzo na ushauri iliyoanzishwa mwaka 2020, inajikita katika kuwawezesha wanawake vijana wenye shauku ya kutengenza vipodozi vya asili kwa ajili ya nywele na ngozi.

Kupitia mafunzo ya vitendo na ushauri wa kitaalamu, AsiliSpot imefanikiwa kuwafundisha na kuwaongoza wanafunzi zaidi ya 2,000 kwa njia ya mtandao na ana kwa ana, na kuwasaidia kuanzisha na kukuza biashara zao za vipodozi.

Taasisi inatoa mafunzo, ushauri, fomula za vipodozi (za binafsi na za jumla), pamoja na malighafi bora za uzalishaji, ikiwa na lnego la kujenga mtandao imara wa wanawake wajasiriamali wenye ujuzi ndani ya Tanzania na Afrika Mashariki.

AsiliSpot inaamini katika matumizi ya vipodozi vya asili, salama na rafiki kwa afya, na inafanya kazi kwa karibu na jamii kuondoa utegemezi wa vipodozi vya kemikali hatarishi.

Our Mission: Kuwawezesha wanawake vijana nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa kuwapatia maarifa na ujuzi wa kutengeneza vipodozi vya asili na salama, ili kupunguza na hatimaye kuondoa matumizi ya vipodozi vya kemikali vinavyoathiri afya ya binadamu.

Our Vision: Kuwafikia wanawake vijana 100,000 ifikapo mwaka 2030, kupitia mitandao ya kijamii na mafunzo ya moja kwa moja, kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya vipodozi vya asili na kupunguza madhara ya kiafya yanayosababishwa na vipodozi vya kemikali, kama vile uharibifu wa ngozi, kushindwa kufanya kazi viungo vya mwili, saratani na ugumba.

Mafunzo kwa Vitendo

Tunatoa mafunzo ya kina na ya vitendo kwa wanafunzi wetu kuanzia ngazi ya msingi hadi ya kitaalamu.

Vipodozi Salama na Asilia

Tunaweka mkazo kwenye matumizi ya malighafi za asili na salama, kulinda afya ya mtumiaji na kuondoa athari za vipodozi vya kemikali.

Malighafi na Fomula Bora

Tunawawezesha wanafunzi wetu kupata malighafi bora, fomula zilizothibitishwa kwa ajili ya biashara zao za vipodozi

Kuwezesha Ujasiriamali wa Wanawake

Tunajenga mtandao wa wanawake wajasiriamali wenye ujuzi, tukiwapa msaada wa maarifa, ushauri na rasilimali ili biashara zao zikue kwa uendelevu.

Cosmetic Formulation Training Programs

AsiliSpot Formulation Organization inatoa mafunzo ya vitendo ya utengenezaji wa vipodozi vya asili kwa nywele na ngozi, yakijumuisha uelewa wa anatomia ya ngozi na nywele, uundaji wa fomula salama, na maandalizi ya kuanzisha au kuboresha biashara ya vipodozi. Mafunzo hutolewa mtandaoni na ana kwa ana, yakiwa yameundwa kwa wanaoanza na wanaotaka kukuza ujuzi wao, huku wahitimu wakipata fursa ya kuendelea na uzalishaji kupitia upatikanaji wa malighafi bora.

Our Main Courses:

  • Fundamentals of Hair Anatomy & Hair Care Formulation
    Msingi wa kuelewa muundo wa nywele na utengenezaji wa bidhaa salama za matunzo ya nywele.
  • Diploma in Skin Anatomy & Body Care Formulation
    Mafunzo ya kina ya ngozi ya mwili na utengenezaji wa bidhaa za matunzo ya mwili kwa viwango vya kitaalamu.
  • Fundamentals of Skin Anatomy & Face Care Formulation
    Msingi wa uelewa wa ngozi ya uso na utengenezaji wa bidhaa salama za uso.

What You'll Learn:

  • Msingi wa anatomia ya nywele na ngozi
  • Utengenezaji wa vipodozi vya asili na salama
  • Uelewa wa viambato (ingredients) na matumizi yake
  • Fomula za bidhaa za nywele, uso na mwili
  • Taratibu sahihi za kuchanganya na kuhifadhi bidhaa
  • Maarifa ya msingi ya kuanzisha biashara ya vipodozi

Who Should Attend:

  • Wanawake vijana wanaotaka kuanzisha biashara ya vipodozi
  • Wajasiriamali wanaotaka kuboresha bidhaa zao
  • Wanaopenda kujifunza utengenezaji wa vipodozi vya asili
  • Wahitimu au wanafunzi wanaotafuta ujuzi wa vitendo
  • Mtu yeyote mwenye shauku ya vipodozi salama kwa ngozi na nywele

Cheti cha Mafunzo

Wahitimu hupatiwa cheti cha mafunzo kinachothibitisha ujuzi waliopata katika utengenezaji wa vipodozi vya asili.

Mafunzo kwa Vitendo

Zaidi ya 80% ya mafunzo ni ya vitendo, yakihusisha uundaji wa bidhaa halisi kwa kutumia malighafi salama.

Upatikanaji wa Malighafi

Wahitimu hupata fursa ya kununua malighafi bora kwa ajili ya kuanza au kuendeleza uzalishaji wao.

Msaada Baada ya Mafunzo

Wanafunzi hupata ushauri na mwongozo hata baada ya kukamilisha mafunzo yao..

Outcomes After Training

Anzisha Biashara Yako

Anzisha chapa yako ya vipodozi kwa kutumia ujuzi wa kitaalamu.

Boresha Biashara Iliyopo

Ongeza bidhaa mpya na ubora wa fomula kwa ushindani wa soko.

Jenga Ujuzi wa kitaalamu

Pata maarifa ya vitendo katika uundaji wa bidhaa za vipodozi.

Jenga Uaminifu Sokoni

Jitambulishe kama mtengenezaji wa vipodozi vya asili anayeaminika.

Raw Materials for Graduate & Entrepreneurs

Malighafi na vifaa vya vipodozi vya ubora wa juu kwa ajili ya wahitimu wa mafunzo na wajasiriamali wa vipodozi. Malighafi hizi zinapatikana ili kusaidia wahitimu kuendeleza uzalishaji kwa viwango vya kitaalamu, kuhakikisha ubora, uthabiti wa fomula, na usalama wa bidhaa wanazotengeneza.

Picha ya Viambato vya Fomula

Viambato vya Fomula

Viambato vya kitaalamu ikiwemo emulsifiers, surfactants, actives, preservatives, na extracts za asili kwa ajili ya bidhaa za nywele na ngozi.

Graduate Exclusive
Request Access
Picha ya Vifaa vya Ufungaji

Vifaa vya Ufungaji

Chupa, makopo, pampu, vifuniko na lebo zinazofaa kwa uzalishaji wa kiwango kidogo hadi cha kati.

Graduate Exclusive
Request Access
Picha ya Starter Kit

Starter Kits za Wajasiriamali

Vifurushi kamili vyenye viambato, vifungashio na miongozo ya fomula kwa ajili ya kuanzisha laini ya kwanza ya bidhaa.

Graduate Exclusive
Request Access
Picha Ya Vifaa vya Ubora

Vifaa vya Udhibiti wa Ubora

Vifaa vya kupima pH, kufuatilia uthabiti wa bidhaa na kuhakikisha usalama wa vipodozi vinavyotengenezwa.

Graduate Exclusive
Request Access

Why Source Materials Through Us?

Ubora Unaohakikishwa

Malighafi zote zinachaguliwa kwa kuzingatia viwango vya ubora na usalama wa vipodozi.

Zinaendana na Mafunzo

Malighafi tunazotoa ni zile zile zinazotumika wakati wa mafunzo, hivyo kurahisisha uzalishaji wako baada ya kuhitimu.

Rafiki kwa Biashara Ndogo

Malighafi zinapatikana kwa kiasi kinachofaa kwa wanaoanza, bila sharti la kununua kwa wingi mkubwa.

Why Choose AsiliSpot

Mafunzo kwa Vitendo Halisi

Zaidi ya 80% ya mafunzo ni ya vitendo, yakilenga utengenezaji wa bidhaa halisi kuanzia siku ya kwanza, si nadharia pekee.

Mtaala Unaolingana na Mahitaji ya Soko

Mafunzo yetu yanazingatia mahitaji ya sasa ya soko la vipodozi, yakilenga ubora, usalama na matumizi ya malighafi sahihi.

Msaada Baada ya Kuhitimu

Wahitimu huendelea kupata ushauri, mwongozo na upatikanaji wa malighafi ili kusaidia safari yao ya uzalishaji na biashara.

Cheti cha Kitaalamu

Baada ya kukamilisha mafunzo, mwanafunzi hupatiwa cheti kinachothibitisha ujuzi wa utengenezaji wa vipodozi vya asili.

Start Your Formulation Journey

Jiunge na mamia ya wanawake wajasiriamali waliobadilisha shauku yao ya urembo kuwa biashara za vipodozi vya asili zenye mafanikio kupitia mafunzo yetu. Jifunze sayansi ya ngozi na nywele, tengeneza bidhaa kwa vitendo, na pata malighafi unazohitaji kuanza au kukuza biashara yako.

Get In Touch

Training & Enrollment Information

Wasiliana nasi ili upate taarifa kuhusu mafunzo yajayo, kupanga ushauri (consultation) au kuuliza vigezo vya kujiunga na mafunzo. Timu yetu iko tayari kukusaidia kuanza safari yako ya utengenezaji wa vipodozi vya asili.

Ratiba ya Mafunzo

Kuanza: January, 2026

Online classes available

Ofisi ya Kujiunga

+255 768 078 727

Tupigie Sasa

Chat Nasi

+255 754 368 470

Chat on WhatsApp

Email

mawasiliano@asilispot.org

Training Center

Arusha,
Tanzania

Fomu ya Kujiunga na Mafunzo